Ewe Mswahili mwenzangu unaweza dhani kuwa ni bra bra za Mswahili lakini SIVYO, kwa hakika hali si Shwari kwa wenzetu huko Libya. Hali ya kukosekana kwa amani imepelekea maelefu ya Walibya KUANDAMANA. Ni wazi kuwa kwa taifa lililokuwa na amani kama Libya katika hali ya sintofahamu kama hiii waliyonayo WTAKUWA WANAMKUMBUKA KANALI MUAMAR GADDAF lakini waapi, NDIO BASI TENA
[Picha hapa chini zitashadidia Kauliyangu hii]
Mambo ndio Kama haya





No comments:
Post a Comment