Naibu Waziri wa umeme, Mh George
Simbachawene [pichani], amesema kwamba serikali imekubali TANESCO waongeze gharama za
umeme kwa 68% kama walivyokuwa wameomba.
Simbachawene ameitoa kauli
hiyo wakati akiongea katika kipindi cha Kumepambazuka kupitia Radio One leo
asubuhi.
Amesema
kwamba hata kama TANESCO wakiongeza gharama za
umeme hadi kufikia Tsh 800 kwa unit bei hiyo ni nafuu kuliko gharama za kununua
mafuta ya taa.
Mh. Simbachawene ametahadharisha kwambakama
mtu ataona kwamba gharama za umeme ni kubwa, basi akawashe kibatari au akae
gizani.
Source: Jamii forum via Kumepambazuka, Radio One.
Soma zaidi: http://habarizetuleo.blogspot.com/2013/11/hatimaye-serikali-yabariki-tanesco.html#ixzz2lj0RL8aL
Mh. Simbachawene ametahadharisha kwamba
Source: Jamii forum via Kumepambazuka, Radio One.
Soma zaidi: http://habarizetuleo.blogspot.com/2013/11/hatimaye-serikali-yabariki-tanesco.html#ixzz2lj0RL8aL
No comments:
Post a Comment